Usajili salama
Anzisha usimamizi wa kikundi kwa njia ya kisasa.
Sajili kikundi chako ili kusimamia wanachama,
hisa, michango, mikopo, marejesho, mikutano na
taarifa za fedha kutoka sehemu moja.
Risiti na hesabu sahihi
Rekodi, statement na reports
zinazosasishwa moja kwa moja.
Udhibiti wa watumiaji
Roles, permissions na audit trail
kwa shughuli zote muhimu.
Inafanya kazi kila kifaa
Tumia kwenye simu, tablet au
computer bila kupoteza taarifa.
Usajili unavyofanya kazi
1
Jaza taarifa za kikundi
Weka mawasiliano, eneo, wanachama
na nyaraka.
2
Ombi linahakikiwa
Msimamizi Mkuu atakagua taarifa
ulizowasilisha.
3
Pokea Group Code
Baada ya approval utaanza
onboarding na kutumia mfumo.
Nenosiri lako linahifadhiwa kwa mfumo wa
hashing na halionekani kwa watumiaji wa
mfumo.