Fuatilia wanachama, hisa, mikopo, matumizi, faini, na mgao wa faida kwa urahisi na usalama.
Orodha ya wanachama na taarifa zao muhimu.
Rekodi na ufuatiliaji wa hisa za wanachama.
Usimamizi wa mikopo yote na marejesho.
Rekodi na fuatilia faini kwa wanachama.
Orodha ya matumizi na gharama za kikoba.
Mgao wa faida na ripoti ya kifedha.